Audio

Audio: Madam Salome – Yesu Anaweza

Kutoka mkoani Morogoro leo kwa mara ya kwanza nimekuletea wimbo uitwao Yesu Anaweza kutoka kwa mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania akifahamika kwa jina la Madam Salome. Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Newdoor zilizopo mkoani Morogoro.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri nikiamini kuwa utabarikiwa.

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Madam Salome kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 677 215 141

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Hellen sogia - Nina sababu

Next post

Video | Audio: Theofrida Gervas - Kama Siyo Wewe