Audio

Audio: Chris Ade – Alagbara’Giga (The One with the Greatest Power)

Kutoka nchini Nigeria leo nimekusogezea wimbo mzuri uitwao Alagbara’Giga kutoka kwa mwimbaji Chri Ade, Muziki ukiwa umetayaarishwa chini ya mikono ya prodyuza Dr. Tim Gyang.

Alagbara’Giga ni neno la lugha ya Yoruba inayozungumza nchini Nigeria ikimaanisha “Yeye mwenye Nguvu kuu” ukiwa ni wimbo wa sifa na shukrani kwa Mungu wetu mkuu, Kwa matendo na ukuu wake kwetu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na hakika utabarikiwa sana siku ya leo, Bwana Yesu asifiwe, Halleluyah.

 

Download Audio

Social Media
Instagram: @iamchrisade
Twittter: @realchrisade

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Hali ni ngumu, Kuna muda mpaka najitafuta, But we do it for Jesus - Imma Kuleba

Next post

Audio: Elvis Goodluck – My God Big