Audio

Audio: Elvis Goodluck – My God Big

Mtumishi wa Mungu Elvis Goodluck kutoka katika huduma ya muziki wa Injili nchini Nigeria ameachia wimbo wake mzuri uitwao My God Big, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Kenzeal.

My God Big ni moja ya wimbo unaopatikana kwenye albamu yake mpya inayobebwa kwa jina la “Immortal” ukieleza matendo makuu ya Mungu na jinsi yanavyobariki maisha yetu kila siku.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni imani yangu kuwa utaufurahia na kubarikiwa, Ameen.

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Elvis Goodluck
Instagram: @realelvisgoodluck
Twittter: @realgoodluckelv

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Chris Ade – Alagbara’Giga (The One with the Greatest Power)

Next post

Video | Audio: Gaudence Paul - Nangojea