Connect with us

UJUMBE: Maisha ni Safari Ndefu – Motivational Speech – Meck El

Mafundisho

UJUMBE: Maisha ni Safari Ndefu – Motivational Speech – Meck El

Mungu ni mwema hakika ameruhusu niuachilie ujumbe huu kwa wakati alioukusudia yeye, Kama binadamu tuna mengi tunayoyapitia katika maisha tunayoishi, kuna nyakati ngumu, Kuna nyakati za raha pia haya yote ameumbiwa mwanadamu, Kama wewe hulii basi yupo anayelia. Kama wewe huna shida basi wapo wenye shida na hawajui wazipeleke wapi.

Kuna mambo ya kila namna katika safari hii ya kuishi, Ujumbe huu ni wetu sote katika kutufariji na kututia nguvu, Nakusihi upatapo ujumbe huu tafadhali washirikishe na wengine kama ni ndugu, rafiki na jamaa zako ili wapate kuinuliwa upya, Mungu akubariki sana.

Melkizedeck Elsante maarufu kama Meck El ni moja kati ya waimbaji wanaofanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania ambapo mpaka sasa ameshaachia wimbo wake mzuri uitwao Wastahili Sifa ukiwa ni wimbo wa sifa na wenye kumtukuza Mungu.

Karibu usikilize ujumbe huu nikiamini kuwa utakugusa na kukubariki sana, siku ya leo.

Kwa mawasiliano zaidi, ushauri na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi Meck El kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 719 475 300
Facebook: Meck El
Instagram: @meck.el

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Mafundisho

To Top