Matangazo

Magreth Sommy Kuweka Wakfu wa Yesu ni Bwana, Oktoba 28

Mwanamuziki nguli wa nyimbo za Injili Tanzania Magreth Sommy anatarajia kufanya Ibada kubwa ya kumshukuru Mungu na kuiweka wakfu albamu yake ya pili inayobebwa kwa jina la Yesu ni Bwana, Oktoba 28, 2018.

Ibada hiyo kubwa inatarajiwa kuhudhuriwa na mgeni rasmi, wageni waalikwa, Manabii, Wachungaji, bila kusahau waimbaji mbalimbali watakaotajwa hapo baadaye. Hakika hili ni tukio kubwa na lenye baraka ambalo mimi na wewe hatutakiwi kukosa, Na watu wote mnakaribishwa.

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sioni Kama Ni dhambi, Yesu Mwenyewe Aliwachapa Watu Hekaluni - Imma kuleba

Next post

Audio: Kedimon Ainea - Nimesikia