Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: Mariam Kilyenyi – Agano Langu

Audio

Video | Audio: Mariam Kilyenyi – Agano Langu

Kutoka jijini Dar es salaam leo naitambulisha kwako video mpya iitwayo Agano Langu kutoka kwa mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania akifahamika kwa jina la Mariam Kilyenyi, Video hii imeongozwa na director Fahim Rasham.

“Nisaidie nile nisishibe, kisha nikasahau wema wako, Watu wanasahau, lakini Bwana unakumbuka
Wasaidie watu wakumbuke wema wako, wasaidie watu wakumbuke agano lako, Agano langu mimi na wewe nimeamua kupatana na wewe Yesu…Watu wanasahau lakini Bwana unakumbuka ulikoniokota, ulikonibeba, ulikonisaidia, Nisaidie nisifanane na washukao shimoni.” – hii ni baadhi ya mistari inayopatikana kwenye wimbo huu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii njema nikiamini kuwa utabarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee. Barikiwa.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Mariam Kilyenyi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 864 922
Facebook: Mariam Kilyenyi
Instagram: @mariamkilyenyiofficial
Youtube: Mariam Kilyenyi

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,792 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top