Connect with us

Audio: Konarce – Baba Loke (Our Heavenly Father)

Audio

Audio: Konarce – Baba Loke (Our Heavenly Father)

Kutoka nchini Nigeria leo kwa mara ya kwanza nimekuletea wimbo uitwao Baba Loke (Our Heavenly Father) kutoka kwa rapa na mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa Afro-pop akifahamika kwa jina la Prince Oghenewaire Ariokpere maarufu kama Konarce, Muziki huu umetayaarishwa n kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Chief Dave Beat Wizard.

Kwa mujibu wa mwimbaji Konarce, alisema machache kuhusu wimbo huu:-

“Baba Loke” ni neno la lugha ya Yoruba inayozungumzwa nchini Nigeria ikimaanisha “Baba yetu wa mbinguni”, ukiwa ni wimbo wa Shukrani na sifa kwa Mungu Mwenye nguvu na uweza wa mambo yote na hii ni shukrani yangu kwake kwa yale aliyoyafanya kwangu na familia yangu “.

Baba Loke ni wimbo wa kwanza kuachiwa kutoka kwenye albamu yake mpya na Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri nikiamini kuwa utakubariki, Karibu!

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Kornace D Christainer
Twittter: @konarce4christ
Email: konarce4christ@gmail.com

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top