Video | Audio: Monique – Yahweh Halleluyah - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Monique – Yahweh Halleluyah

Audio

Video | Audio: Monique – Yahweh Halleluyah

Kutoka nchini Nigeria leo nimekusogezea video ya wimbo mzuri uitwao Yahweh Halleluyah kutoka kwa Monique muimbaji wa nyimbo za Injili kutoka kiwanda cha muziki nchini Nigeria. Video hii imeongozwa na director Rex Ten na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Spaghetti Records.

Yahweh Halleluyah ni wimbo unaoelezea hali ya kujisalimisha kwa Mungu kutokana upendo na matendo yake makuu kwetu sisi wanadamu tuliozaliwa ndani ya rehema na wema wake mkuu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii njema na kupakua wimbo huu ambao ni imani yangu kuwa utakubariki na kukugusa, Amen.

Download Audio

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top