Audio: Loyce Nducha - Yesu Nalokola - Gospo Media
Connect with us

Audio: Loyce Nducha – Yesu Nalokola

Audio

Audio: Loyce Nducha – Yesu Nalokola

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza leo nimekusogezea wimbo wa aina yake uitwao Yesu Nalokola kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Loyce Nducha, Muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Eck na kurekodiwa ndani ya studio za Eck Production.

Yesu Nalokola ni nelo la lugha ya Kihaya inayozungumzwa nchini Tanzania ikimaanisha Yesu Anaokoa, Huu ni wimbo wa kiinjilisti nikiwa nawaambia na kuwahamasisha watu ya kwamba tukishaokoka tusikalie mabenchi kanisani bali twende mitaani tukahubiri injili ili kuwaokoa na wengine ambao hawajampokea Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao.

Mbali na mashairi ya wimbo huu lakini pia mapigo ya kiafrika yaliyotumika kuukamilisha wimbo huu yatakufanya uufurahie na kubarikiwa na muziki huu ulibuniwa kwa ustadi mkubwa kawa ajili ya kumtukuza Mungu, Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu unaotukumbusha juu ya kuihubiri Injili na kusoma biblia, Barikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Loye Nducha kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 916 649
Facebook: Loyce Nducha
Instagram: @loycenducha
Youtube: Loyce Nducha

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top