Video | Audio: Kevin Ayeeh - Jina la Yesu - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Kevin Ayeeh – Jina la Yesu

Audio

Video | Audio: Kevin Ayeeh – Jina la Yesu

Baada ya kuachia wimbo wake mzuri uitwao “Awesome Is Your Name” mwezi May 2018 mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya anayefahamika kwa jina la Kevin Ayeeh kwa mara nyingine tena ametuletea video ya wimbo wake mpya wa ibada uitwao “Jina la Yesu”.

“Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye video ya JINA LA YESU kutoka kwa mtumishi wako Kevin Ayeeh tayari nimeshaiachia rasmi hapa. Nakukaribisha kuangalia na kushiriki kwa kuacha maoni yako ya ushuhuda. Mungu akubariki wakati unapoingia katika ibada kupitia wimbo huu.” – alisema Kevin Ayeeh

Ni hakika utabarikiwa na kufarijika kupitia video ya wimbo huu wa Ibada kutoka kwa mwimbaji Kevin Ayeeh, Mungu azidi kuonekana katika maisha yako kila wakati unapotazama na unaposikiliza wimbo huu “Jina la Yesu”.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Kevin Ayeeh kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 724 557484
Facebook: Kevin Ayeeh Instagram: @kevinayeeh
Youtube: Kevin Ayeeh

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top