AudioVideo

Video | Audio: Flex Muziki – More & More

Kutoka jijini Nairobi mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini Kenya Flex Muziki ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao More & More, Video hii imeongozwa na director Newborn Kid na muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Johnttez na kurekodiwa ndani ya studio za Krucial Sounds.

More & More ni wimbo unaoelezea juu ya kutamani kuwa mbele ya Mungu wakati wote. Huenda wimbo huu ukawa ni baraka kwako kila unapousikiliza muziki huu na sauti laini.

Kwa moyo mkunjufu nakuakribisha kutazama na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakubariki na kukuinua, Amen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Flex Muziki kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 701 131 970
Facebook: Flex Muziki
Instagram: @flexmuziki
Twittter: @flexmuziki
Youtube: Flex Muziki

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Aneth Kushaba - Hallelujah

Next post

Audio : Prince George - Nivushe