Audio: Emmanuel Mgogo-Niokoe Bwana Kutoka Katika Matarajio Yao. - Gospo Media
Connect with us

Audio: Emmanuel Mgogo-Niokoe Bwana Kutoka Katika Matarajio Yao.

Audio

Audio: Emmanuel Mgogo-Niokoe Bwana Kutoka Katika Matarajio Yao.

Kutoka Dar es salaam Tanzania, leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunautambulisha wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili akifahamika kwa jina la Emmanuel Mgogo, wimbo huu unaitwa NIOKOE BWANA KUTOKA KATIKA MATARAJIO YAO, ikiwa ni wimbo unaobeba jina la album yake mpya anayotarajia kuiachia sokoni siku chache zijazo ikiwa imesheni nyimbo nyingi zenye kubariki na kuinua watu kiroho na kimwili.

Akiongea na gospomedia.com amesema kuwa wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya JB Production chini ya mikono ya producer anayefahamika kwa jina la Baraka au Smartbilionea. 

GospoMedia.com tumekuwekea wimbo huu uweze kumpa sapoti mwimbaji Emmanuel Mgogo kwa kuupakua(kudownload) wimbo huu uweze kuusikiliza na kuwashirikisha wengine ili nao wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa NIOKOE BWANA KUTOKA KATIKA MATARAJIO YAO.

DOWNLOAD

KUDOWNLOAD NYIMBO ZINGINE BONYEZA HAPA

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Emmanuel Mgogo kupitia
Simu/WhatsApp: +255 769 505 537
Facebook: Emmanuel Mgogo
Instagram: @emmanuelmgogo
YouTube: Emmanuel Mgogo
Email: emanuelmgogo150@gmail.com
Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

More in Audio

To Top