AudioVideo

Video | Audio: Paul Clement – Amenifanyia Amani

Chini ya Uongozi wa Fisher Record, mwimbaji wa Injili Tanzania Paul Clement amekuletea video ya wimbo wake mpya wa AMENIFANYIA AMANI, Audio(midundo/Beat) ikiwa imetengenezwa na Producer Taz kutoka Zambia na Mixing ikiwa imefanywa na producer Innocent Muhjwahuki kutoka Push Up records Tanzania.

gospomedia.com pia tumekuwekea wimbo huu hapa uweze kuusikiliza kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili wimbo huu uweze kuwa baraka na kuwainua wengine. Barikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na mwimbaji Paul Clement kupitia
Simu/WhatsApp: +255625661862
Facebook: Paul Clement
Instagram: @paulclement
YouTube: Paul Clement
Email: fisherrecordstz@gmail.com, paulclement39@gmail.com, geemaarufu@yahoo.com, joxmarc@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> Gospo Media instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

DOWNLOAD MUSIC VIDEO+AUDIO: AARON KY - UMEBAKIA WEWE

Next post

MWIMBAJI MWAMINI MUYERO KUZINDUA ALBUM YAKE YA NIMEPATA PUMZIKO TAREHE 23/10/2016,HUTAKIWI KUKOSA..