Audio

Audio: Christina Shusho-Akutendee Nini

AKUTENDEE NINI ni wimbo mzuri na wenye kubariki kutoka kwa mwimbaji mkongwe na mahiri maarufu kama Christina Shusho akiwa ni moja kati ya waimbaji walioweza kupenya kwenye milango mbalimbali ya afrika mashariki na dunia kwa ujumla wake.

Kupitia blog yako pendwa tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri, kisha washirikishe na wengine ili nao wapate kubarikiwa na kuinuliwa kwa jina la Yesu. Ameen!!

DOWNLOAD

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
EDWIN MROPE
Previous post

DOWNLOAD MUSIC AUDIO: EDWIN MROPE - USIKATE TAMAA.

magufuli na mzee wa upako
Next post

HABARI PICHA: TAZAMA RAIS MAGUFULI ALIVYOTEMBELEA KANISA LA MZEE WA UPAKO.