Audio

Audio: Niwaeli Mkhortia – Jina la Yesu

Kutoka ndani ya lebo ya Genecic leo kwa mara ya kwanza namtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Niwaeli Mkhortia akitokea jijini Arusha na huu ni wimbo wake mpya uitwao “Jina la Yesu”, Muziki umeteyaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za  Genecic Studio zilizopo jijini Arusha.

“Jina la Yesu” ni wimbo sifa unaoelezea thamani na uwezo wa jina la Bwana wetu Yesu Kristo jinsi linavyotawala na kuyalinda maisha yetu, Jina lake ni kuu sana hata kuliko majina yote, Wakolosai 3:17 Na, kila mfanyacho kwa neno au tendo, fanyeni vyote kwa jina la Bwana Yesu na kumshukuru Mungu Baba kwa njia yake.

Niwaeli Mkhortia ni moja kati ya mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili aliye chini ya menejimenti ya Genecic ikiwa ni moja ya lebo kubwa zinazoonekana kuwa msaada mkubwa katika kuwainua waimbaji wenye vipaji vikubwa katika tasnia ya muziki wa Injili hasa kutoka kanda ya Kaskazini mwa Tanzania.

Nina imani kubwa kuwa kupitia jina la Yesu wimbo huu utakugusa na kukuinua kwa namna ya pekee, Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza, Bwana Yesu asifiwe.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Niwaeli Mkhortia kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 752 528 231
Facebook: Niwaeli Mkhortia

You tube: Genecic promotions
Fb: Genecic Promotions
Instagram : Genecic Promotions
Email: genecicprotz@gmail.com

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Divinely Brothers - Sitoweza

Next post

Video | Audio: Mariam Kilyenyi - Agano Langu