AudioVideo

Video | Audio: Aniseti Butati-Wataulizana

Kutoka Dar es salaam Tanzania leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunaitambulisha kwako video mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Aniseti Butati video ya wimbo huu inaitwa Wataulizana ikiwa imeongozwa na director Kilonzo na wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Ayoub.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video hii, kuupakua na kuusikiliza wimbo huu wa Wataulizana kutoka kwa mwimbaji Aniseti Butati kisha uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kumpa sapoti mwimbaji huyu na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

DOWNLOAD AUDIO

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Aniseti Butati wasiliana nae kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 675 197 388
Facebook: Aniseti Butati
Instagram: @anisetibutati YouTube: Aniset Butati

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

Advertisements
Previous post

Nyimbo Kumi Bora za Muziki wa Injili Ziliofanya Vizuri Mwezi wa Kumi 2016. Hizi Hapa.

Next post

Somo Kutoka kwa Milca Kakete: ''Upotevu wa Muda''