Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri March 2016. Hizi Hapa - Gospo Media
Connect with us

Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri March 2016. Hizi Hapa

Audio

Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri March 2016. Hizi Hapa

Kupitia Blog yako pendwa ya gospomedia.com hizi ni nyimbo kumi bora zilizofanya vizuri zaidi kwa mwezi Machi 2016,  Kwa kuzingatia kigezo cha ubora wa kazi zenyewe na kupitia watu waliofanikiwa kupakua na kusikiliza mara kwa mara kupitia blog hii. Nyimbo hizi zimepata tiketi ya kuingia kwenye mchakato wa tuzo za GOSPO AWARDS zinazotarajiwa kutolewa mwishoni mwa mwaka 2016.

1: Jenipher Sitta – Upo na Mimi

2: Bahati Bukuku – Amewazidi Wote

3: Lilian Kimola – Wanitosha

4: Agness Nkugwe – Acha Nikuimbie

5: Paul Clement & Nelly Music-Natamani

6: Sakina Naftali – Niwe Miliki

7: Fabian Fanuel Feat. Goodluck Gozbert-Hufananishwi

8: Elisifa Cephas Feat. Hellen Kijazi – Usilie Tena

9: Yesu Okoa Mitaa – Songa Mbele

10:  Peter Msechu – Nikumbatie Bwana

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Audio

To Top