AudioVideo

Audio: Prince Nick – Subira

Kutoka jijini Dar es salaam anaitwa Prince Nick, Mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili kutoka katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini Tanzania na huu ni wimbo wake mpya uitwao Subira ikiwa ni wimbo wake wa kwanza kuachia kwa mwaka 2018, Ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Simzosha kutoka studio za King’s Records.

“SUBIRA ni wimbo unaowakumbusha wanadamu kukaa karibu na uso wa Mungu pindi wawapo katika hali ya kutaka kumkosea Mungu hivyo pindi mawimbi yanapo chafuka ni jambo la kumsii Mungu ampatie moyo wa “SUBIRA” yaani UVUMILIVU.” – alisema Prince Nick

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao nina imani kuwa utakubariki sana, Ameen.

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Prince Nick kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 657 752 905
Facebook: PRINCE NICK NETHO
Instagram: @princenick

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Richie kisukuli - Nahitaji

Next post

Video | Audio: Rebecca Soki - Baraka Zangu