Audio

Audio: Mr Special – Won My Heart Forever

Kutoka katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini Nigeria leo nimekuletea wimbo mzuri wa Ibada uitwao Won My Heart Forever kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za sifa na Ibada anayeafahamika kwa jina la Mr Special akiwa chini ya lebo ya muziki iitwayo Worship The King Music iliyopo nchini Nigeria.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri utakaokushawishi kumtafakari Bwana wa majeshi Yesu Kristo katika kiwango cha sifa na utukufu kwa mateso ya msalaba aliyopata kwa ajili ya dhambi zetu na kuushinda ulimwengu. Barikiwa!

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Chima Ephraim Obilor
Instagram: @mrspecial_official
Twittter: @mrspecial20

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Benjamin Okenna Feat. Preye Odede – God Never Disappoints

Next post

Goodluck Gozbert Alinicheka Sana, Sipendi makundi kwenye Muziki wa injili - Jesca Gazuko