Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Aneth Kushaba – Hallelujah

Audio

Audio: Aneth Kushaba – Hallelujah

Kutoka jijini Dar es salaam leo nimekusogezea video ya wimbo mzuri kabisa uitwao Hallelujah kutoka kwa mwimbaji mpya kutoka katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Aneth Kushaba. Video hii imeongozwa na director Sammy Segumba kutoka Shilo Studios.

“Hallelujah” ni wimbo wa sifa unaoelezea uzuri na ukuu wa Mungu na uwepo wake katika maisha yetu na yale ambayo anaendelea kututendea kila siku, Kila wakati tunapaswa kusema Hallelujah kwa kuwa Bwana Yesu ni mfalme wetu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii nzuri nikiamini kuwa itakubariki sana, Amen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Aneth Kushaba kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 439 790
Facebook: Aneth Kushaba
Instagram: @anethkushaba
Twittter: @anethkushaba
Youtube: Aneth Kushaba

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,792 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top