Audio

Audio: Nehemia Kindole – Ni Ujumbe

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo wake uitwao Wema na Fadhili leo kwa mara nyingine tena nimekuletea wimbo mzuri uitwao Ni Ujumbe wa Bwana kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Nehemia Kindole akitokea mjini Bagamoyo, Huu ukiwa ni wimbo wake wa pili kuachia kwa mwaka 2018, ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Joshua Ndaki na kurekodiwa kutoka ndani ya studio za Canaan.

“Nanyi pia watu wa mataifa mengine, mliusikia ujumbe wa kweli yaani Habari Njema iliyowaletea wokovu, mkamwamini Kristo; naye Mungu, ili kuonesha kuwa nyinyi ni wake, akawapiga mhuri kwa kuwapeni yule Roho Mtakatifu aliyetuahidia. – Waefeso 1:13″– Nehemia Kindole

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu nikiamini kuwa utakubariki, Endelea kumpendwa Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako.

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Nehemia Kindole kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 763 117 943
Facebook: Nehemia Kindole Email:  kindolenehemia@gmail.com

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio : Prince George - Nivushe

Next post

Audio: Gelax - Baraka