Connect with us

VIDEO | UMETUKUKA – INNOCENT KAZERA

UMETUKUKA - INNOCENT KAZERA

Audio

VIDEO | UMETUKUKA – INNOCENT KAZERA

Kutoka Canada leo tumekusogezea video ya wimbo mzuri unaoitwa UMETUKUKA kutoka kwa mwimbaji Innocent Kazera.

“UMETUKUKA ni wimbo wa kumuabudu Bwana. Mpendwa wimbo huu utakubariki. Hakuna jina lingine kama la Yesu. Mapepo yakimbia na magonjwa yanapona kupitia jina hilo.” – Innocent Kazera

Tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu, Barikiwa.

Connect:
Facebook: Plame Kazera
Instagram: @innocentkazera
Youtube: Innocent Kazera

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top