Connect with us

VIDEO | Supa Newe – Mungu Wa Haki [God of Justice]

VIDEO | Supa Newe - Mungu Wa Haki [God of Justice]

Audio

VIDEO | Supa Newe – Mungu Wa Haki [God of Justice]

Kutoka Tanzania rapa wa nyimbo za Injili Supa Nawe a.k.a The Anointed One ameachia video ya wimbo unaoitwa Mungu Wa Haki (God of Justice).

“Mungu wa Haki ni wimbo unaoeleza namna Mamlaka ya Mwenye Enzi Mkuu ilivyo na Manufaa unapo mgeukia yeye na Kumuita. Mungu ni wa Haki kabisa, Ukimuita Anaitika.” – Supa Newe

Karibu kutazama video hii, Barikiwa.

Connect:
WhatsApp: +255 767 526 240
Facebook: Supa Newe
Instagram: @supanewe_official
Youtube: Supa Newe {The Anointed}

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top