Connect with us

VIDEO | Merina Mkuchu – NI WEWE

VIDEO | Merina Mkuchu - NI WEWE

Audio

VIDEO | Merina Mkuchu – NI WEWE

Kutoka Tanzania leo tumekusogezea video ya wimbo unaoitwa NI WEWE kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Merina Mkuchu.

“NI WEWE (ONLY YOU) ni wimbo unaozungumzia Ukuu wa Mungu na yale anafanya kwenye maisha hakika hakuna wa zaidi ya YESU KRISTO.” – Merina Mkuchu

Karibu kutazama video ya wimbo huu, Barikiwa.

Connect:
Facebook: Merina Mkuchu
Instagram: @merina_mkuchu
Youtube: Merina Mkuchu

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top