Connect with us

AUDIO | DERICK NDONGE – USIFIWE

DERICK NDONGE - USIFIWE

Audio

AUDIO | DERICK NDONGE – USIFIWE

Kutoka Tanzania mtumishi wa Mungu Derick Ndonge ameachia wimbo wake mzuri wa sifa unaoitwa USIFIWE.

Halleluya watu wa Mungu, Mungu alimuumba mwanadamu kwa kusudi moja ya kwamba Amwabudu yeye Mungu Muumbaji

Basi paza sauti yako pamoja nami Umwambie Mungu usifiwe Milele
Anastahili sifa na Heshima Na Utukufu
Mungu hajui kutenda kwa kukurupuka
Yeye ni Mungu halisi wala sio hadhith
Mungu hutenda kwa uhakika wala hana Majuto
SIFA NI CHAKULA CHA MUNGU,

Tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri, Barikiwa.

Connect:
WhatsApp: +255 753 661 611
Facebook: Derick Ndonge
Instagram: @derickndonge_official
Youtube: Derick Ndonge

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top