Connect with us

AUDIO | John Anyandwile – Raha ya Milele

AUDIO | John Anyandwile - Raha ya Milele

Audio

AUDIO | John Anyandwile – Raha ya Milele

John Anyandwile mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania ameachia wimbo wake mzuri unaoitwa Raha ya Milele.

“Kila mwanadamu chini ya jua anayo shauku ya kuona kwamba anafanikiwa na kupata kile anachotamani, na wengine wameenda mbali zaidi WANAABUDU VITU WALIVYONAVYO kiasi cha kuzikabidhi roho zao huko na kumsahau Mungu aliyewapa Pumzi na uhai ambae pia ndiye mwenye kila kitu. Nchi na vyote viijazavyo ni Mali ya BWANA.” – John Anyandwile alisema

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utakubariki na kukugusa kwa namna ya pekee, Amen.

Connect:
WhatsApp: +255 746 660 028
Facebook: John Anyandwile
Instagram: @johnanyandwile
Youtube: John Anyandwile

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top