Connect with us

VIDEO | Vince Joyn – Nakupenda

VIDEO | Vince Joyn - Nakupenda

Music

VIDEO | Vince Joyn – Nakupenda

VIDEO | Vince Joyn - Nakupenda

Kutoka nchini Marekani leo tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri wa mapendo unaoitwa NAKUPENDA kutoka kwa Vince Joyn.

“Mwaka jana, nilikua na maongezi na Bishop wangu ambae katika maongezi yetu, aliniuliza, hivi kwa nini waimbaji wa injili hamuandiki nyimbo za upendo kati ya wanandoa? Akasisitiza na kuniomba niandike moja ya heshima. Naamini nimeitendea haki. Blessings So here we go. I hope you all will like it. Enjoy” –  Vince Joyn

Kipekee tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu, Barikiwa.

Connect:
Facebook: Vince Joyn
Instagram: @vincejoyn
Twitter: @vincejoyn
Youtube: Vince Joyn

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,669 other subscribers

To Top