Connect with us

VIDEO | ULALE PEMA – MTAKATIFU GASPER CHOIR

ULALE PEMA - MTAKATIFU GASPER CHOIR

Muziki

VIDEO | ULALE PEMA – MTAKATIFU GASPER CHOIR

ULALE PEMA - MTAKATIFU GASPER CHOIR

Kwaya ya Mtakatifu Gasper Del Bufalo, Parokia ya Makole iliyopo mkoani Dodoma inaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha aliyekuwa Rais mstaafu awamu ya tatu wa Tanzania HAYATI BENJAMINI WILLIAM MKAPA kilichotokea Julai 23, 2020.

Bwana Ametoa Bwana Ametwaa Jina lake lihimidiwe.

Connect:
Youtube: Tanganyikaproduction

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,744 other subscribers

To Top