Connect with us

VIDEO | Renard Nickson ft. Ben William – U Mwema

VIDEO | Renard Nickson ft. Ben William - U Mwema

Music

VIDEO | Renard Nickson ft. Ben William – U Mwema

VIDEO | Renard Nickson ft. Ben William - U Mwema

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine leo tumekusogezea video ya mzuri unaoitwa U Mwema kutoka kwa Renald Nickson akiwa amemshirikisha Ben William.

“U MWEMA ni wimbo unaoelezea wema, uweza na ukuu wa Mungu maishani mwetu. U MWEMA( YOU ARE GOOD) is the song that tries to explain how God is Good, what He is capable of, and how Almighty He is in our lives.” – Renard

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri, Barikiwa.

Connect:
WhatsApp: +255 743 806 080
Facebook: Renard Nickson
Instagram: @reny_nick
Youtube: Renard Nickson

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,669 other subscribers

To Top