Connect with us

VIDEO | Noella Alain ft. Ambwene Mwasongwe – MUNGU YUPO

VIDEO | Noella Alain ft. Ambwene Mwasongwe - MUNGU YUPO

Audio

VIDEO | Noella Alain ft. Ambwene Mwasongwe – MUNGU YUPO

VIDEO | Noella Alain ft. Ambwene Mwasongwe - MUNGU YUPO

Kutoka Tanzania leo tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa MUNGU YUPO kutoka kwa Noella Alain akiwa amemshirikisha Ambwene Mwasongwe.

“Mungu yupo haijalishi nyakati na majira unayopitia yeye ni muaminifu na atatenda kwa wakati wake. huu ni wimbo wangu mpya tafadhali nahitaji support yako mtu wa Mungu angalia na ku share kadri uwezavyo.” – Noella Alain

Tunakukaribisha kutazama video hii, Barikiwa.

Connect:
Youtube: Noella Gabriel

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top