Connect with us

VIDEO | Miriam Lukindo ft. Bella Kombo – Nang’aa

Miriam Lukindo ft. Bella Kombo - Nang'aa_VIDEOO

Muziki

VIDEO | Miriam Lukindo ft. Bella Kombo – Nang’aa

Miriam Lukindo ft. Bella Kombo - Nang'aa_

Kwa mara nyingine kutoka Tanzania Miriam Lukindo ameachia video mpya ya wimbo wake mzuri unaoitwa Nang’aa akiwa amemshirikisha Bella Kombo.

“Wimbo huu wa Nang’aa ni wimbo nilioupata mwezi wa nne katika kipindi cha Corona wakati ambapo watu wengi wamekata tamaa na kuona hakuna tumaini tena. Mungu akanipatia ujumbe huu wa kuweza kuinua mioyo ya watu waliovunjika moyo, pamoja na misukosuko tuliyokutana nayo bado kwa baraka zake Yesu tunang’aa.” – Miriam Lukindo

Kipekee tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu, Barikiwa.

Connect:
Facebook: Miriam Lukindo Mauki
Instagram: @miriamlukindowamauki
YouTube: MiriamLukindo

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

1 Comment

1 Comment

  1. elias charse

    July 20, 2020 at 1:24 pm

    hongera kwa nyimbo nzuri dadaang

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,744 other subscribers

To Top