Connect with us

VIDEO | Joyce Omondi – SITAOGOPA

VIDEO | Joyce Omondi - SITAOGOPA

Muziki

VIDEO | Joyce Omondi – SITAOGOPA

VIDEO | Joyce Omondi - SITAOGOPA

Kutoka kwenye albamu iitwayo Spirit Vs Soul Joyce Omondi kwa mara nyingine ameachia video ya wimbo wake mzuri unaoitwa SITAOGOPA.

“Sitaogopa” is a song about encouraging one’s self to keep holding on to God’s
promises concerning their life especially when the fulfillment of those promises
seems to take so long.

Ninakungoja Yesu/ njoo unionekanie/ naona ukitembelea wengine/ naomba
unikumbuke pia/ kwa nguvu zangu nimeshindwa/ niwezeshe nikutazamie/ Mfalme wa
amani/ ngao tena mlinzi/ nishikilie nisimame” – Joyce sings.

Kipekee tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu, Barikiwa.

Connect:
Facebook: Joyce Omondi
Instagram: @joyceomondi
Twittter: @joyceomondi
Youtube: Joyce Omondi

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,744 other subscribers

To Top