Connect with us

VIDEO | Derick Ndonge – Uketie Juu

VIDEO | Derick Ndonge - Uketie Juu

Music

VIDEO | Derick Ndonge – Uketie Juu

VIDEO | Derick Ndonge - Uketie Juu

Kwa mara nyingine kutoka Tanzania mtumishi wa Mungu Derick Ndonge ameachia video mpya ya wimbo wake mzuri unaoitwa Uketie Juu.

“Yupo Mungu asiye lala, sinzia kwaajili yangu, yako, hawezi kukuacha uangamie, upotee. Kuna wakati unawezafikiri Mungu hayupo na wewe kumbe jicho lake liko kwako anakutizama kwa Upendo na Rehema, Usiogope kama kuna sehemu ulikosea simama tena uendelee kumtukuza Mungu, Usiabudu miungu ila yeye tu..” – Derick Ndonge

Tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Eimen.

Connect:
WhatsApp: +255 753 661 611
Facebook: Derick Ndonge
Instagram: @derickndonge_official
Youtube: Derick Ndonge

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,669 other subscribers

To Top