Connect with us

AUDIO | Nuru Gizani – Rodgers Mathew

AUDIO | Nuru Gizani - Rodgers Mathew

Music

AUDIO | Nuru Gizani – Rodgers Mathew

AUDIO | Nuru Gizani - Rodgers Mathew

Kutoka kwenye Extended Playlist ya WOKOVU SERIES mwimbaji wa nyimbo za Injili Rodgers Mathew leo ametusogezea wimbo unaoitwa Nuru Gizani.

Katika maisha tunapitia mambo mbalimbali. Bila msaada wa Mungu hatutaweza kufanya jambo lolote… Tunahitaji ukombozi katika kila kitu, kwani nje ya wokovu huu wa Yesu Kristo kuna giza nene, na ndani ya wokovu huu kuna Nuru iletayo uzima. Yohana 8:12 “Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.” – Rodgers Mathew

WOKOVU SERIES ni mfululizo wa nyimbo zitakazo onesha Safari kuelekea katika Kweli, kuishi katika Kweli na kutembea katika Kweli.

Kipekee tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Eimen.

Connect:
WhatsApp: +255 717 903 681
Facebook: Rodgers Mathew
Instagram: @rodgersmathew
YouTube: Rodgers Mathew

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,669 other subscribers

To Top