Connect with us

AUDIO | Nakutaka Yesu – Lemy Zadock

Muziki

AUDIO | Nakutaka Yesu – Lemy Zadock

Lemy Zadock

Kutoka Tanzania mwimbaji Lemy Zadock ameachia wimbo wake mzuri unaoitwa Nakutaka Yesu.

“Huu ni wimbo unaomsogeza kila amwaminie Mungu kupitia Mwana YESU KIRISTO kuhitaji uwepo, upako, na nguvu zake Hii nyimbo itakupa ibaada kamili na hamu ya kukaa na Yesu kamili karibu usikilize uhudumiwe.” – Lemy Zadock

Karibu kusikiliza wimbo huu, Barikiwa!

Connect:
Whatsapp: +255 757 375 820, +255 716 641 918
Facebook: Lemy Zadock
Instagram: @lemyzadock
YouTube: LEMY ZADOCK

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,744 other subscribers

To Top