Connect with us

AUDIO | Moro All Gospel Star – Mwangaza

AUDIO | Moro all Gospel Star - Mwangaza

Muziki

AUDIO | Moro All Gospel Star – Mwangaza

AUDIO | Moro all Gospel Star - Mwangaza

Kutoka Tanzania leo tumekusogezea wimbo maalum wa kumuaga Rais wa awamu ya tatu Hayati Benjamini William Mkapa ambaye ameiacha dunia tarehe 24 Julai 2020.

Wimbo huu umeimbwa na waimbaji mbalimbali kutoka mkoa wa Morogoro akiwemo Nickson Tarimo,
Devotha Sanga, Nellyroice Thomas, Elavina Clavery, Peter Mshana, Erica Neema, Sayuni Mrita, Mozee Kamana, Mboto Maarifa, Boaz Ramsey, Hagai kulanga.

Karibu usikilize wimbo huu, Amen.

Connect:
WhatsApp: +255 769 883 118, +255 712 595 385, +255 712 976 597
Youtube: HOPE GOSPO MINISTRY

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,744 other subscribers

To Top