Connect with us

AUDIO | GOODLUCK MSUYA – NI YESU

AUDIO | GOODLUCK MSUYA - NI YESU

Muziki

AUDIO | GOODLUCK MSUYA – NI YESU

AUDIO | GOODLUCK MSUYA - NI YESU

Kutoka Tanzania leo tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa NI YESU kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Goodluck Msuya.

“Bwana Yesu asifiwe sana karibu tuungane pamoja kuutukuza uwaminifu wa Yesu kwenye Maisha yetu sababu Tunalo jina Moja linalopaswa kupewa Heshima nalo ni Jina YESU karibu tuungane pamoja kulionua hilo jina linalopita majina yote.” – Goodluck Msuya

Karibu kusikiliza wimbo huu, Barikiwa.

Connect:
WhatsApp: +255 653 094 708
Facebook: Goodluck Msuya
Instagram: @minister_goodluck_fred
Youtube: Goodluck Msuya

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,744 other subscribers

To Top