Connect with us

VIDEO | ProsJunior – Usiyeshindwa

VIDEO | ProsJunior - Usiyeshindwa

Audio

VIDEO | ProsJunior – Usiyeshindwa

VIDEO | ProsJunior - Usiyeshindwa

Kutoka kundi la Prosperous Sound hii video ya wimbo unaoitwa Usiyeshindwa ulioimbwa na kundi dogo la vijana linalofahamika kama ProsJunior.

“ProsJunior ni vijana chipukizi ndani ya Prosperous Sounds wanaomtumikia Mungu chini ya kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Mkuu Dr Josephat Gwajima; Kwa mara ya kwanza wamekuja na wimbo unaoitwa Usiyeshindwa.” – Prosperous Sound

Tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa, Eimen.

Connect:
WhatsApp: +255 717 133 667
Facebook: Prosperous Sounds
Instagram: @prosperous_sounds
Youtube: PROSPEROUS SOUNDS

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top