Connect with us

AUDIO | SIRI YA USHINDI – Tumaini Lawi ft. Joe Gerson, Mapenzi ya Mungu

Music

AUDIO | SIRI YA USHINDI – Tumaini Lawi ft. Joe Gerson, Mapenzi ya Mungu

AUDIO | SIRI YA USHINDI - Tumaini Lawi ft. Joe Gerson, Mapenzi ya Mungu

Kutoka jijini Mwanza leo tumekusogezea wimbo mzuri unaoitwa SIRI YA USHINDI kutoka kwa Tumaini Lawi akiwa na Joe Gerson na Mapenzi ya Mungu.

“Siri ya ushindi ni kutokuogopa katika hali yoyote ile,
haijalishi ni kipi unapitia katika maisha jipe moyo jitie nguvu songa mbele
Hakika utayashinda.
.” – Tumaini Lawi

Tunakukaribisha wimbo huu na hakika kuwa itakubariki, Amen.

Connect:
WhatsApp: +255 754 018 206
Facebook: Tumaini Lawi
Instagram: @tumainilawi
Youtube: Tumaini Lawi

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

1 Comment

1 Comment

  1. Maule Banali

    July 2, 2020 at 7:38 pm

    awabariki sana wana wa mungu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,507 other subscribers

To Top