Connect with us

AUDIO | Magreth James – UMENIKUMBUKA

AUDIO | Magreth James - UMENIKUMBUKA

Muziki

AUDIO | Magreth James – UMENIKUMBUKA

AUDIO | Magreth James - UMENIKUMBUKA

Kwa mara nyingine kutoka Tanzania mwimbaji wa nyimbo za Injili Magreth James ameachia wimbo mzuri unaoitwa UMENIKUMBUKA.

“Mungu mwenye nguvu, uweza na mamlaka anajua habari za maisha yako kuliko unavyojijua mwenyewe! unaposikiliza wimbo huu kumbuka moyoni mwako ya kwamba Upendo wake kwako hauna mfano na haupimiki kamwe! Karibu sana ubarikiwe na ujumbe huu mzuri wa Tumaini la kweli.” – Magreth James

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na ubarikiwe.

Connect:
WhatsApp: +255 713 913 454
Facebook: Magreth James
Instagram: @magrethjamesoffical
Youtube: Magreth Mushi

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,744 other subscribers

To Top