Connect with us

AUDIO | Elly Joel – Nikufananishe

Music

AUDIO | Elly Joel – Nikufananishe

Elly Joel - Nikufananishe

Kwa mara nyingine kutoka Tanzania mwimbaji wa nyimbo za Injili Elly Joel ameachia wimbo mzuri unaoitwa Nikufananishe.

“#NIKUFANANISHE🎧🎸🎤🎹🎙 ni wimbo ambao unauonesha ukuu na uwezo wa 👑MUNGU 👑 tuliyenaye…asiyefananishwa na mwanadamu ,malaika wala kiumbe wa aina yoyote ile…HE is almighty and powerful for real💪hope you will be blessed for this song.” – Elly Joel

Karibu usikilize wimbo huu mzuri, Barikiwa.

Connect:
WhatsApp: +255 655 274 683
Facebook: Elias Son Joel
Instagram: @elly_joel_official
Youtube: Elly Joel official

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,507 other subscribers

To Top