Music
VIDEO | Ringtone x Azziad Nasenya – Zoea Mawe
Kutoka nchini Kenya kwa mara nyingine tena Ringtone ameachia video mpya ya wimbo mzuri mpya unaoitwa Zoea Mawe.
“The song talks of the challenges you will face when you doing something right and the reason why you must not give up.” – Pigwa Mawe
Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Eimen.
Connect:
Facebook: Ringtone Apoko
Instagram: @ringtoneapoko
Youtube: Ringtone Apoko Music
Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.
