Connect with us

VIDEO | Martha Mwaipaja – Maumivu Ya Jaribu

Video

VIDEO | Martha Mwaipaja – Maumivu Ya Jaribu

VIDEO | Martha Mwaipaja - Maumivu Ya Jaribu_VIDEO

Kwa mara nyingine tena mwimbaji mkongwe wa nyimbo za Injili nchini Tanzania al maarufu Martha Mwaipaja ameachia video mpya ya wimbo unaoitwa Maumivu Ya Jaribu.

“Maumivu ya Jaribu ni wimbo ambao unaelezea kuwa majaribu yanaumiza moyo lakini Mungu yupo kutuokoa katika hali zote na shida tunazopitia.Haijalishi unapitia wapi lakini uweza wa Mungu upo kukusaidia na kukuvusha katika yote unayoyapitia.Songambele Mungu anajua unayoyapitia kila jambo lina mwisho wake.” – Martha Mwaipaja

Karibu kutazama video hii, Barikiwa!

Connect:
WhatsApp: +255 719 470 375
Facebook: Martha Mwaipaja
Instagram: @marthamwaipaja
Youtube: Martha Mwaipaja

Gospo Media inapatikana Google Play Store, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,514 other subscribers

To Top