Connect with us

VIDEO | Joyce Mwaikofu – Kilichotarajiwa

Video

VIDEO | Joyce Mwaikofu – Kilichotarajiwa

VIDEO | Joyce Mwaikofu - Kilichotarajiwa

Kutoka kwenye albamu ya HAWAKUJUA NI MBEGU mwimbaji wa nyimbo za Injili Joyce Mwaikofu anakukaribisha kutazama video mpya ya wimbo mzuri unaoitwa Kilichotarajiwa.

“Hata Yesu walimtabiria maisha, vipimo vilipogoma, walimshangaa mtoto wa selemala tu amewezaje? WATAISHANGAA Tanzania inapotimiza tarajio lake, kwa kuwa Bwana hachelewi wala hawai kujibu.” – Joyce Mwaikofu

Barikiwa kila unapotazama video ya wimbo huu, Eimen.

Connect:
WhatsApp: +255 714 494 316
Facebook: Joyce Mwaikofu
Instagram: @joycemwaikofu
Youtube: Joyce Mwaikofu

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,415 other subscribers

To Top