Connect with us

VIDEO | Goodluck Msuya – NIMEMUONA BWANA

Video

VIDEO | Goodluck Msuya – NIMEMUONA BWANA

VIDEO | Goodluck Msuya - NIMEMUONA BWANA

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 leo tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri unaoitwa NIMEMUONA BWANA kutoka kwa Goodluck Msuya.

“Nimemuona Bwana ni wimbo unaoelezea uweza na ukuu wa Mungu kwenye maisha yetu. Mungu akubariki sana unapoendelea kumsifu Mungu kupitia wimbo huu.” – Goodluck Msuya

Karibu kutazama video ya wimbo huu, Amen.

Connect:
WhatsApp: +255 653 094 708
Facebook: Goodluck Msuya
Instagram: @minister_goodluck_fred
Youtube: Goodluck Msuya

Gospo Media inapatikana Playstore, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,418 other subscribers

To Top