Connect with us

VIDEO | Boaz Danken – Jina la YESU Linatisha

Video

VIDEO | Boaz Danken – Jina la YESU Linatisha

VIDEO | Boaz Danken - Jina la YESU Linatisha

Kutoka jijini Dar es salaam leo tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri wa sifa unaoitwa JINA LA YESU LINATISHA kutoka kwa mtumishi wa Mungu Boaz Danken.

Karibu tumsifu Bwana wetu YESU KRISTO naamini Furaha ya Bwana ndio nguvu Yetu” –  Boaz Danken

Kipekee tunakukaribisha kutazama video hii njema, Amen.

Connect:
WhatsApp: +255 753 173 325
Facebook: Boaz Danken
Instagram: @boazdanken
Youtube: BOAZ DANKEN

Gospo Media inapatikana Google Play Store, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,418 other subscribers

To Top