Connect with us

Gospomedia

VIDEO | Agnes Link ft. Alphonce Mutema – U MWEMA

Music

VIDEO | Agnes Link ft. Alphonce Mutema – U MWEMA

VIDEO | Agnes Link ft. Alphonce Mutema - U MWEMA

Kutoka kwenye albamu ya tatu iitwayo SALVATION mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Ujerumani Agnes Link ameachia video mpya ya wimbo mzuri unaoitwa U MWEMA akiwa amemshirikisha Alphonce Mutema.

Milima yaweza Ondoka, Vilima vyaweza ondolewa, lakini fadhili zako Bwana, Hazitaondoka maishani mwangu, (Isaiah 54:10) It is a blessing to be part of HIS SALVATION. HIS goodness to us is unlimited. I love and enjoy to praise HIM. BE BLESSED as you watch and sing with us this song.” – Agness Link

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri, Eimen.

Connect:
Facebook: Agnes Link
Instagram: @agnesslinkofficial
Youtube: AgnesLink

Gospo Media inapatikana Google Play Store, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,534 other subscribers

To Top