Connect with us

AUDIO | Zoravo – Nikupe Nini?

Music

AUDIO | Zoravo – Nikupe Nini?

AUDIO | Zoravo - Nikupe Nini?

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tumekusogezea wimbo mzuri unaoitwa NIKUPE NINI kutoka kwa Zoravo.

“Nina kila sababu ya Kumshukuru MUNGU kwa ajili ya Wimbo wa “NikupeNini” haswa katika kipindi kigumu kinacho ikumba Dunia kama hicho…Nafahamu sio rahisi kupaza sauti za sifa,shukrani na kucheza kwa furaha wakati wa majonzi na sintofahamu kama hizi….Lakini MUNGU wetu anastahili sifa na shukrani nyakati zote,tukiwa kwenye ADHA,tukiwa kwenye vita ama hata tukiwa Katikati ya dhoruba mbali mbali katika maisha…BADO hatuna cha kumpa zaidi ya Shukrani,ibada na Sifa kuu.” – Zoravo

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri, Barikiwa!

Connect:
WhatsApp: +255 657 129 676
Facebook: Zoravo
Instagram: @zoravo
Youtube: Zoravo Official

Gospo Media inapatikana Google Play Store, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,415 other subscribers

To Top