Connect with us

AUDIO | Prisca Sanga – Salama

Music

AUDIO | Prisca Sanga – Salama

PRISCA SANGA SALAMA AUDIO

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tumekusogezea wimbo unaoitwa SALAMA kutoka kwa Prisca Sanga.

“Salama, Ni wimbo mpya kabisa, wenye ujumbe unaoongelea usalama wetu, ambao kimsingi, haupo mikononi mwetu, wala Madaktari, wala watu tunaoowaamini, Bali upo mikononi mwa MUNGU, na kwamba si jambo rahisi sana kwetu, kuulinda usalama wetu bila kumtegemea MUNGU, ambae hahitaji kusoma certificate wala PHD kuulinda usalama wetu, Hili limethibitika kwenye kipindi hiki cha ugonjwa uliosumbua dunia, tumeona kwamba tuliemhitaji zaidi ni MUNGU, sio sayansi wala teknolojia, na huu ndio ujasiri tulio., ya kwamba hata tukisongwa na mawimbi kiasi gani bado kwake tunao usalama.” – Prisca Sanga

Karibu kusikiliza wimbo huu ubarikiwe, Eimen.

Connect:
WhatsApp: +255 625 744 517
Facebook: Prisca Sanga
Instagram: @priscasanga_tz
Youtube: Prisca Sanga

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,507 other subscribers

To Top