Connect with us

Gospomedia

AUDIO | Pastor Luckson Daniel – MAPENDO

Music

AUDIO | Pastor Luckson Daniel – MAPENDO

Pastor-Luckson-Daniel-MAPENDO

Kutoka nchini Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 Pastor Luckson Daniel ameachia wimbo wake mpya unaoitwa MAPENDO.

“Huu ni wimbo wenye maisha halisi ya kila mwanadamu, amini huu wimbo utakurudisha kutafuta pendo halisi la Mungu lenye kuleta badiliko jipya kwa wote walio wahi kuwa na tofauti na wewe.” – Pastor Luckson Daniel

Karibu usikilize wimbo huu na hakika utabarikiwa, Eimen.

Connect:
WhatsApp: +255 714 255 432
Facebook: Luckson Daniel
Instagram: @mjumbewanyakati
Youtube: luckson Daniel

Gospo Media inapatikana Google Play Store, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,534 other subscribers

To Top